JIFUNZE KOMPYUTA POPOTE ULIPO

Hapa tutakupa mafunzo ya kompyuta mubashara kupita App ya Zoom, utaweza kumwona mwalimu na wanafunzi wenzako mkiwa darasani. Pia utaweza kumuuiliza swali mwalimu au mwanafunzi mwenzako

JINSI YA KUIPATA APP YA ZOOM

  1. Kwa wanaotumia simu Pakua App Hapa
  2. Wanaotumia Kompyuta Pakua App Hapa

JINSI YA KUJIUNGA DARASANI

Fungua App kisha chagua JOIN, na uandike ID namba ambayo utakayotumiwa baada ya kulipia ada ya program utakayosoma.

FOMU YA KUJIUNGA NA MAFUNZO

Pakua Fomu ya kujiunga na mafunzo ya kompyuta mubashara kwa kubonyeza kitufe hapo chini

Pakua Form Hapa

KWA MAELEZO ZAIDI

Kama umeshindwa namna ya kupakua App na kujiunga, tafadhari usisite kuwasiliana nasi
0678 920 112.