Terms and Condition:
Soma Sheria na Vigezo Vyetu Kabla Ya Huduma
- Endapo kwa sasa huna pesa za malipo ya kazi yako, unaweza kutoa taarifa kabla ya kazi kwa mtoa huduma ili mkubaliane
- Unapotoa kazi bila malipo, fahamu kuwa kazi yako inaweza chelewa, kipaumbele huwa ni kwa wateja wanaofanya malipo kabla
- Endapo kazi yako haikufanyika au imeshindikana kwa kukosa taarifa zinazotakiwa, Pesa zako zote zitarudishwa
- Tunapenda sana kushirikiana na kutoa ushauri wa kitaalam kwa wale wateja wetu wanaotuamini na si wasumbufu katika kazi zao.
Wateja hao huwa tunawajali sana na wakati mwingine huwa tunaweza kuwafanyia kazi kubwa kwa malipo madogo au bure kabisa
- Lengo letu ni kusaidia kwa wale walikuwa mbali na ofisi na wasioweza kuandaa kazi nzuri na wale wasiokuwa na elimu ya kutosha juu ya kazi au majukumu aliyopewa kutoka ngazi za juu
- Unapofanya malipo, unatakiwa kutuma Uthibitisho wa muamala kwenda namba 0755328419, Na mtoa huduma atawasiliana na wewe au kukutumia kazi yako.
- Kila hatua inapofanyika katika kazi yako, mtoa huduma anaweza kukutumia kama screenshot au video fupi yaani short clip ili uitazame na kutoa marekebisho na maboresho
mpaka pale kazi yako itakapokamilika
- Huduma au kazi yako itakapokamilika mtoa huduma atafanya mawasiliano na mteja ili akutumie kazi yako kwa njia ya WhatsApp, Email au njia utakayompatia wewe
- Unapotoa kazi kwetu hakikisha unakuwa hewani ili mtoa huduma wetu afanye mazungumzo ya mara kwa mara mpaka kazi yako kukamilika. Kama unahisi upo maeneo ambayo si mazuri kimtandao,
Basi toa taarifa mapema kwa mtoa huduma wetu, ili akusanye taarifa zote muhimu na mkubaliane namna ya kuhitimisha kazi yako
- Kwa wateja watakaojisajiri yaani kujiunga kwetu kama mteja wa kudumu, atapata punguzo la bei 30% kwa kila kazi atakayotuma kwetu na gharama ya kujisajiri ni Tsh10,000 Tu!
- Huduma zetu utazipata popote ulipo duniani, Kinachotakiwa ni kuwa na App yetu ya Ajakai ICT au Smart Huduma au tembelea www.ajakaiict.net/app/smarthuduma
X