*We're Professional IT team and Talented Designers to help you anywhere * We fix, We advice and We train you*
  • Home«
  • Track Calls & SMS

Unataka kupata meseji na simu zilizopigwa toka simu ya mwingine


Kanusho:

Njia hizi ni ya kusudi la elimu tu. Usijaribu shughuli zozote haramu na nimeshiriki kukupa njia hizi ili kulinda na kujua jinsi watu wanavyoweza kupata meseji au simu zilizopigwa kutoka kwenye simu yako.


NJIA #1:
Kama unaweza kushika simu yake:

  1. Chukua Simu yake iwe mikononi mwako
  2. Andika *21*andika namba yako# AU Andika *61*andika namba yako#
  3. Kisha bonyeza OK
  4. Hapo utakuwa umemaliza na utaweza kupata huduma

Kujitoa huduma hii:

Ili kusitisha au kujitoa huduma hii bonyeza #21# au #61# kwenye simu uliyotumia kuingiza huduma


NJIA #2:
Kama unaweza kushika simu yake:

  1. Chukua Simu yake iwe mikononi mwako
  2. Pakua App kupia link:
    Bonyeza Hapa (Maelezo kwa lugha ya kiingereza)
  3. Pakua App kupia link:
    Bonyeza Hapa (Maelezo kwa lugha ya kiswahili)

NJIA #3:
Kama huwezi kushika simu yake:

  1. Huduma hii utatozwa kiasi cha pesa
  2. Pakua App kupia link
    Bonyeza Hapa (Maelezo kwa lugha ya kiingereza)
  3. Pakua App kupia link:
    Bonyeza Hapa (Maelezo kwa lugha ya kiswahili)

Je, Unahitaji Msaada Zaidi?

Kama unahitaji msaada zaidi juu ya huduma hii na kupata maelekezo ya kina kutoka kwa wataalamu wetu tafadhari jiunge kuwa mwanachama wetu wa Ajakai ICT. Kujiunga Bonyeza Hapa

Change Language