We help you to get easy source via quick links
Mfumo huu utakusaidia wewe wakala wa mitandao kama mpesa, halopesa, tigopesa, airtel money, T pesa na Ezy pesa Kuhifadhi miamala yako ya wateja pale wanapotoa pesa au kuweka pesa, mfuo huu utatunza taarifa za wateja kwa muda wote na utakusaidia kujua faida ya siku, wiki au mwezi katika miamala yako uliyofanya. Pia utakuwezesha kujua historia ya biashara yako kama inapanda au kushuka pale utakapokagua ripoti za miamala yako na faida. Nakusahauri utumie mfumo huu ili kukuza biashara yako kwa kuto poteza taarifa sahihi za miamala ya wateja.