Je, unatuma maombi ya kazi lakini huitwi kwenye interview? 🤔
Tatizo linaweza kuwa CV yako haijapangwa kitaalamu!
Sasa usijali — AJAKAI ICT COMPANY tunakusaidia kutengeneza Professional CV ya kisasa (ATS Friendly) itakayokuvutia mwajiri na kukuweka mbele ya wengine 💼✨
✔️ Kutengeneza CV yenye muonekano wa kisasa na kuvutia
✔️ Kuandika kwa lugha ya kitaalamu (professional writing)
✔️ Kuonyesha uwezo wako kwa njia ya kuvutia (achievements)
✔️ Kupangilia CV kulingana na kazi unayoomba
✔️ Kukusaidia ku-apply kazi (Job Application Support)
✅ Tunajua waajiri wanataka nini
✅ Tunatengeneza CV zinazopita kwenye mfumo wa ATS
✅ Tunakuandaa ili uwe na ushindani mkubwa kwenye soko la ajira
✅ Tunakupa mwongozo hadi upate kazi
📌 CV itakayokuvutia mwajiri
📌 Kuongeza nafasi ya kuitwa interview
📌 Kujiamini zaidi unapofanya maombi ya kazi
Majengo Street, Kahama – Shinyanga
Piga: 0755328419; Whatsapp: 0678920112
💬 Anza leo!
Tuma ujumbe Au Tupigie sasa tukusaidie kutengeneza CV itakayobadilisha maisha yako ya ajira 🔥
Bonyeza Kitufe Kusikiliza: