Je, unataka kujifunza matumizi ya computer na kupata ujuzi wa kisasa unaohitajika kwenye soko la ajira?
AJAKAI ICT Training Centre tunakukaribisha kwenye intake mpya ya mafunzo ya computer yanayoanza rasmi tarehe 29 June 2026.
Tunatoa mafunzo ya vitendo (practical training) yanayokusaidia kupata ujuzi halisi wa kazi na biashara katika dunia ya teknolojia.
Jifunze:
Jifunze:
Jifunze:
✔ Mafunzo ya vitendo
✔ Walimu wenye uzoefu
✔ Mazingira mazuri ya kujifunzia
✔ Mafunzo yanayoendana na mahitaji ya soko la ajira
✔ Hostel kwa wanaotoka mbali
Wahi kujisajili mapema ili kuhakikisha nafasi yako.
🌐 Website: ajakaiict.net
📞 Simu: 0755 328 419
📧 Email: admission@ajakaiict.net
📍 Location: Majengo Sokola Street, Kahama – Shinyanga
Learn • Practice • Grow