Unatafuta mwongozo juu ya kufuta akaunti yako ya Facebook? Safi nitakuelekeza jinsi ya kufuta Akaunti yako ya Facebook Permanently.
Kuna sababu kubwa ya kwanini unataka kufuta Akaunti yako ya Facebook. Labda ni kuhusiana na Privacy au hata sababu zinginezo nyingi.
Kuna njia mbili tofauti za kufanya Akaunti yako ya Facebook isipatikanike Mtandaoni/hewani. Ya kwani ni kusitisha, ambayo inamaana:
Lakini Kufuta/Deleting Akaunti yako ni kitu ambacho unatakiwa kuwa makini sana. Kama utafuta Akaunti yako:
Kawaida, kusitisha Akaunti ni njia bora zaidi kwenye Facebook, lakini kufuta tambua huondoka moja kwa moja ambayo haina njia, hivyo basi kuwa makini kabla hujaamua kufuta Akaunti yako
Fuata hatua zifuatazo ili kusitisha Akaunti yako:
1. Bonyeza Menu ya Facebook (kamshale kanapokaa juu kabisa ya browser yako upande wa kulia)
2. Chagua Settings
3. Chagua Security kwenye colomn ya upande wa kushoto
4. Chagua Deactivate your account. Na kisha fuata hatua ili kumalizia maamuzi yako
Kuirudisha tena baada ya kuisitisha, Ingia Facebook kisha ingiza Email au Namba zako za simu pamoja na Password/neon la siri, hapo itarudi tena.
Bonyeza Link ya hapo chini ili ikupeleke haraka sehemu ya kufuta Akaunti yako:
Kabla hujafuta Akaunti yako, ni vema kupakua maelezo/habari zako kutoka Facebook. Ili kupakua/download habari zako fuata hatua hizi:
1. Bonyeza Menu ya Facebook (kamshale kanapokaa juu kabisa ya browser yako upande wa kulia)
2. Bonyeza Download a copy of your Facebook data kwenye kitufe cha General Account Settings
3. Chagua Start My Archive