Would you like to switch language?
From Ajakai ICT Says:

News Details
Unatafuta kazi ndani au nje ya nchi lakini hupati nafasi nzuri?

Unatafuta Kazi? Huu Ndio Wakati Wako!

Kila siku maelfu ya nafasi za kazi hutangazwa ndani na nje ya nchi, lakini changamoto kubwa ni jinsi ya kujiandaa na kujiwasilisha kitaalamu ili kuonekana na kuaminiwa na waajiri. Watu wengi hupoteza nafasi nzuri si kwa sababu hawana uwezo, bali kwa sababu CV zao hazivutii, barua zao hazishawishi, na mara nyingi hawana connection za moja kwa moja na ajira zinazowafaa.

Hapa ndipo tunapoingia kusaidia wewe au rafiki yako

Huduma Zetu za Kitaalamu

Tunatoa msaada kamili wa maandalizi ya ajira:

  • Kutengeneza CV za kisasa zenye muonekano wa kitaalamu na wa kuvutia
  • Kuandika barua za kikazi (Cover Letters) zinazoshawishi na kulingana na position unayoomba
  • Kupangilia vyeti vyako ili viwe katika mpangilio unaoeleweka na kurahisisha mwajiri kukuchagua
  • Kukutafutia kazi na kutuma maombi ndani ya nchi na hata nje ya nchi

Jiunge na Uanachama wetu Sasa wa Connection Za Kazi

Kwa kulipia TZS 25,000 tu kwa mwaka, unapata nafasi ya kipekee kupitia Uanachama wetu wa kazi:

  • Tunakupa connection za ajira mbalimbali kulingana na taaluma na position yako
  • Unapokea taarifa na nafasi mpya mara kwa mara
  • Unapata ushauri wa moja kwa moja kutoka kwa timu yetu hadi pale unapopata ajira unayoitamani

Hii siyo tu huduma ya maandalizi, ni njia ya uhakika ya kujenga mustakabali wako wa kitaaluma.


Kwa Nini Utuchague?

  • Tunakupa huduma zinazokupambanua na kuondoa ushindani mkubwa wa soko la ajira
  • Tunakusaidia kuokoa muda na nguvu kwa kutuma maombi yako kwa mwajiri moja kwa moja
  • Tunabaki na wewe bega kwa bega hadi ndoto zako za ajira zitimie

Usikose nafasi ya kuboresha maisha yako ya kazi.

  • Pakua app yetu Ajakai ICT kupitia Google play store na Bonyeza Jobs kisha Join Jobs Membership na Ujiunge popote ulipo

Wasiliana nasi sasa:  simu/WhatsApp 0678920112 au 0755328419


Tembelea tovuti yetu: www.ajakaiict.net 

Kumbuka: Kazi zipo, kinachohitajika ni maandalizi sahihi na sisi tupo kwa ajili yako!

HTML Comment Box is loading comments...
Share to