Would you like to switch language?
From Ajakai ICT Says:

News Details
AJAKAI ICT - Suluhisho Kamili la IT, Mafunzo, Ajira na Biashara
Tech News Tech Company News

Katika dunia ya sasa, teknolojia ndiyo injini ya maendeleo ya biashara na maisha ya kila siku.
AJAKAI ICT inakuletea huduma bora zinazochanganya ubunifu, utaalamu na usaidizi wa karibu kwa wateja wetu.
Tunakuwezesha kupata huduma za IT, mafunzo ya kompyuta, msaada wa ajira, usajili wa biashara pamoja na huduma za ofisini mahali pamoja.
Huduma zetu zimeundwa kusaidia watu binafsi, wajasiriamali na taasisi kukua na kufanikisha malengo yao.
Ukiwa nasi, hupati huduma tu – unapata mshirika wa kweli katika safari yako ya mafanikio.

Tunatoa huduma zifuatazo kwa gaharama nafuu au kusidia mteja hata bure kabisa, kikubwa ni uaminifu wako na mahusiano mazuri kwetu:


1. IT Solutions & Technology Services

  • Website Design & Development – Tovuti za kitaalamu kwa biashara, shule au taasisi.

  • Website & Account Management – Kusimamia tovuti na akaunti zako za biashara/mtandaoni ili ziwe salama, ziboreshwe na ziwe na taarifa sahihi kila wakati.

  • Software & Systems Development – POS, School Management Systems, HR & Payroll.

  • Software Installations – Kufunga programu mbalimbali kwenye kompyuta au server kwa usahihi na salama.

  • Networking & Installation – Usanifu na ufungaji wa LAN, WiFi, Routers na Servers.

  • Data Entry Services – Kuingiza taarifa kwa usahihi kwenye mifumo au hifadhidata.

  • Cybersecurity & Data Protection – Antivirus, firewalls, backup na data recovery.

  • Remote IT Support – Kutatua matatizo ya PC, apps na network mtandaoni.

  • Helpdesk IT Support – Huduma ya msaada wa kiufundi kwa simu, chat au barua pepe kwa ajili ya matatizo ya IT.

  • Graphic Design & Multimedia – Ubunifu wa logo, posters, flyers, banners na video editing.

  • Digital Marketing & Branding – Social media marketing, SEO, Google/Facebook Ads.


2. Computer Training

  • Basic Computer Training – Word, Excel, PowerPoint, Internet & Email.

  • Advanced ICT Training – Database, Programming, Networking, System Admin.

  • Accounting Packages – Tally, QuickBooks n.k.

  • Graphic Design & Digital Marketing – Ujuzi wa kubuni na matangazo ya kidigitali.

  • Online Training – Mafunzo rahisi popote ulipo kwa njia ya mtandaoni.


3. Career Services

  • CV & Resume Writing – CV za kitaalamu zinazovutia waajiri.

  • Cover Letter Writing – Barua rasmi na zenye mvuto.

  • Job Application Guidance – Ushauri sahihi wa namna ya kuomba kazi.

  • Career Coaching – Mwongozo wa mwelekeo wa kazi na ujuzi unaohitajika.

  • Job Connection – Kuunganisha na fursa za ajira ndani na nje ya nchi.


4. Stationery & Printing Services

  • Photocopy & Printing – Huduma za kuchapisha nyaraka.

  • Scanning & Lamination – Kubadilisha nyaraka kuwa digital na kulinda karatasi.

  • Business Cards, Flyers & Posters – Ubunifu na uchapishaji wa kitaalamu.

  • Binding Services – Kufunga vitabu, ripoti na makabrasha.


5. Business Support Services

  • Company Registration & Business Name Registration – Tunakusaidia kusajili kampuni yako au jina la biashara rasmi kupitia BRELA kwa urahisi na haraka.

  • Business Plan Writing – Tunakuandikia mpango kamili wa biashara unaokidhi viwango vya wawezeshaji, wawekezaji au taasisi za kifedha.

  • Contract Drafting & Documentation – Kuandaa na kuandika mikataba ya kibiashara au makubaliano ya kisheria kwa usahihi na ulinzi wa kisheria.

  • Memorandum & Articles of Association Preparation – Kuandaa nyaraka rasmi zinazohitajika kwa ajili ya uendeshaji wa kampuni mpya.

  • Online Applications Services – Kufanya maombi mbalimbali ya huduma za serikali na taasisi kama NIDA, TIN, leseni za biashara, vyeti na nyaraka nyingine.

  • Account Recovery Services – Kurejesha akaunti zako zilizopotea au kufungwa kama email, mitandao ya kijamii, au mifumo mingine ya mtandaoni.


Omba Huduma  Online Sasa!

Popote ulipo, unaweza kuomba huduma mtandaoni na kuipata hata bila kufika ofisini.

BONYEZA HAPA KUOMBA


Wasiliana Nasi Leo!

📍 Mahali: Kahama, Shinyanga - Tanzania
📱 Call/WhatsApp: 0755328419/0678920112
📧 Email: online-service@ajakaiict.net
🌐 Website: ajakaiict.net

👉 AJAKAI ICT – IT, Mafunzo, Biashara na Huduma za Kitaalamu kwa Mafanikio Yako!

HTML Comment Box is loading comments...
Share to