Would you like to switch language?
From Ajakai ICT Says:

News Details
AJAKAI ICT COMPANY – We Fix, We Advise and We Train You 💻📄🛠️
Tech News Tech Company News

Karibu AJAKAI ICT COMPANY, ofisi ya kisasa inayokuletea huduma mbalimbali za TEHAMA, mafunzo ya kompyuta, huduma za kazi (career services), stationery na matengenezo ya kompyuta — kwa ubora wa hali ya juu na kwa bei rafiki.

Tunajivunia kuwahudumia wanafunzi, wafanyakazi, wajasiriamali na kila mtu anayehitaji msaada wa kompyuta na huduma za kitaalamu za kazi.

👉 Sasa unaweza ku-request huduma zote online kupitia App yetu bila usumbufu!


HUDUMA ZETU KUU:

1️⃣ Career Services (Huduma za Ajira na Maendeleo ya Kazi)

Hii ndiyo huduma yetu inayoongoza kwa sasa, na tunahakikisha kila mteja anapata huduma ya haraka na yenye viwango vya kisasa.

Tunatoa:

  • Kutengeneza CV za kisasa (Professional CV)

  • Kuandaa Job Application Letters

  • Kuandaa na kurekebisha Certificates/Attachments

  • Kutuma maombi ya kazi (Online Job Applications)

  • Kusaidia kujibu Email za waajiri baada ya kuomba kazi

  • Job Membership Program – tunakutafutia kazi online kila siku na kuku-apply kulingana na sifa zako

📌 Kama unahitaji kazi kwa haraka na kwa njia sahihi, sisi ndio suluhisho lako.


2️⃣ Computer Training (Mafunzo ya Kompyuta)

Tunatoa mafunzo ya kompyuta kwa vitendo kuanzia beginner hadi advanced.

Kozi zetu ni pamoja na:

  • Computer Applications

  • PC Maintenance 

  • Website Design

  • Graphics Design

  • Internet & Email Training

  • Printing, Scanning & Office Practical Skills

📌 Mafunzo yetu yanaendeshwa kwa mfumo wa darasani na vitendo.
🎓 Unapata ujuzi wa kujitegemea na kujiamini kazini.


3️⃣ IT Solutions (Huduma za TEHAMA)

Kwa biashara, taasisi au mtu binafsi, tunatoa huduma za IT kwa uhakika.

Tunatoa:

  • Computer Setup & Installation

  • Software Installation

  • Antivirus & Security Setup

  • Internet/WiFi Setup

  • Office Network Support

  • Data Backup & Recovery (basic)


4️⃣ Computer Maintenance & Repair (Matengenezo ya Kompyuta)

Je kompyuta yako inasumbua? Usijali.

Tunafanya:

  • Matengenezo ya Laptop & Desktop

  • Kuongeza RAM / SSD

  • OS Installation (Windows & drivers)

  • Computer cleaning & service

  • Kuondoa virusi / computer slow

  • Hardware diagnosis & replacement

📌 Tunakupa ushauri kabla ya kubadilisha spare parts ili usipate gharama zisizo za lazima.


5️⃣ Stationery Services

Tunapatikana kwa huduma zote za stationery na office support.

Tunatoa:

  • Printing (B/W & Color)

  • Photocopy

  • Scanning

  • Binding / Spiral

  • Lamination

  • Kuuza vifaa mbalimbali (karatasi, kalamu, mafaili n.k.)


📲 Request Online Kupitia App Yetu

Ili kurahisisha huduma na kupunguza foleni, sasa unaweza kuomba huduma online:

✅ Chagua huduma unayotaka
✅ Tuma taarifa zako
✅ Pokea maelekezo / bei
✅ Huduma inafanyika haraka

👉 Bonyeza hapa ku-request huduma kupitia App: BONYEZA HAPA


📍 TUPATE WAPI?

Head Office:

📌 Kahama, Majengo, Sokola Street

Branch Office:

📌 Kahama, Majengo, Isaka Road

📞 Simu: 0755 328 419 / 0678 920 112
💬 WhatsApp: 0678 920 112
📧 Email: info@ajakaiict.net
🌐 Website: www.ajakaiict.net


⭐ Kwa Nini Uchague AJAKAI ICT COMPANY?

  • ✔ Huduma za haraka na za uhakika

  • ✔ Wataalamu wenye uzoefu

  • ✔ Bei rafiki

  • ✔ Tuna huduma nyingi sehemu moja

  • ✔ Unaweza ku-request online kupitia App


AJAKAI ICT COMPANY
We fix, we advise and we train you.

Bonyeza Kitufe Kusikiliza:

HTML Comment Box is loading comments...
Share to