AJAKAI ICT inapenda kuwatangazia rasmi kuanza kwa Mafunzo ya Kompyuta (Computer Applications) kwa Intake ya Kwanza ya Mwaka wa Masomo 2026/2027, yatakayoanza rasmi:
📅 Tarehe ya Kuanza: 2 March 2026
⏳ Muda wa Mafunzo: Miezi 3
Mafunzo haya yamelenga kukuandaa kwa ujuzi wa kisasa wa TEHAMA kwa vitendo zaidi:
Introduction to Computer
Microsoft Word
Microsoft Excel
Microsoft PowerPoint
Microsoft Access
Microsoft Publisher
Internet & Email
📌 Mafunzo haya yanafaa kwa wanaoanza kabisa na pia kwa wanaotaka kuongeza ujuzi wao wa matumizi ya kompyuta kwa kazi, biashara au masomo.
✅ Kila mwanafunzi atumia kompyuta yake mwenyewe
✅ Mafunzo yanafanyika kwa vitendo (practical-based learning)
✅ Walimu wenye uzoefu na uelewa wa wanafunzi
✅ Mazingira rafiki na yanayochochea kujifunza
Vipindi vinafanyika kuanzia:
Saa 2:30 asubuhi hadi saa 12:30 jioni
🔁 Kuna Session Tatu (3)
👉 Mwanafunzi anachagua session anayopenda kulingana na ratiba yake.
Kwa wanafunzi wanaotoka mbali:
✔️ Hostel ipo karibu
✔️ Gharama nafuu
✔️ Mazingira salama na rafiki kwa wanafunzi
Kahama – Majengo, Sokola
📌 Jirani na Uwanja wa Magufuli
📲 Tembelea Tovuti Yetu:
👉 www.ajakaiict.net
➡️ Bonyeza Training
➡️ Apply Online ili kuwahi nafasi mapema
📞 Simu:
0755 328 419
0678 920 112
📧 Barua Pepe:
admission@ajakaiict.net
Jiandae kwa dunia ya kidigitali, ongeza ujuzi wako, jenga mustakabali wako na AJAKAI ICT.
📚 Ujuzi wa Kompyuta ni Muhimu Leo na Kesho!
👉 Nafasi ni chache – Jiunge mapema!
Bonyeza Kitufe Kusikiliza: