AJAKAI ICT COMPANY inakaribisha maombi ya INTERNSHIP (Mafunzo kwa Vitendo) kwa vijana wenye bidii, nidhamu na nia ya kujifunza katika fani zifuatazo:
Majukumu:
Kutengeneza CV na Cover Letters
Kusaidia ku-apply kazi online
Job search & job membership support
Kusaidia wateja kujibu emails za ajira
Majukumu:
Computer maintenance & repair
Software installation & troubleshooting
IT support kwa wateja na ofisi
Majukumu:
Kutengeneza posters & designs za matangazo
Kusimamia na kutangaza huduma kupitia social media
Kusaidia branding ya kampuni
Majukumu:
Kuhudumia wateja wa ofisini
Kupokea simu na WhatsApp za wateja
Kusaidia mauzo na mawasiliano ya huduma
Awe na elimu kuanzia Certificate, Diploma hadi Degree
Awe amesomea au anasomea moja ya kozi zifuatazo:
Information Technology (IT)
Computer Science
Computer Engineering
Human Resources (HR)
Marketing / Business Marketing
Awe mchapakazi, mwenye nidhamu na uwajibikaji
Awe tayari kujifunza kwa vitendo kwenye mazingira ya startup
Mafunzo ya vitendo (practical skills)
Uzoefu halisi wa kazi
Cheti cha Internship
Recommendation Letter kwa watakaofanya vizuri
Lunch / nauli au motisha ndogo (kulingana na utendaji)
⚠️ Internship hii haina mshahara wa kudumu.
AJAKAI ICT COMPANY
Kahama – Majengo
Tuma CV na vyeti vyako kupitia email:
📩 career@ajakaiict.net
📅 02 April 2026