Track your progress and stay updated on your task
Kusaidiwa Interview
Huduma hii inamlenga mteja anayehitaji kushiriki interview (usaili wa kazi) kwa njia ya mtandao (online) lakini anakutana na changamoto kama…
Business Plan
Huduma hii inahusu uandishi wa mpango wa biashara (Business Plan) kamili, wa kitaalamu na unaoeleweka kwa wadau mbalimbali kama taasisi…
Company Profile
Huduma hii inahusisha kutengeneza Company Profile ya kisasa kwa ajili ya biashara, taasisi au shirika lako. Tunaunda Company Profile inayovutia,…
Katiba Ya Kikundi
Tunatoa huduma ya kitaalamu ya kuandaa katiba rasmi za vikundi kwa ajili ya kusajili na kuendesha shughuli kwa mujibu wa…
Kuandika Barua
Tunatoa huduma ya kitaalamu ya kuandika barua kwa madhumuni mbalimbali kwa watu binafsi, biashara, taasisi na mashirika. Ikiwa unahitaji barua…
Kuandika Mikataba
Tunatoa huduma ya kuandaa mikataba ya maandishi kwa matumizi mbalimbali ya binafsi, kibiashara au ya taasisi. Mikataba huandikwa kwa lugha…
Memorandum (MoA)
Huduma hii inahusisha uandishi na uandaaji wa nyaraka rasmi za usajili wa kampuni, ambazo ni: Memorandum of Association (MOA) –…
Project Proposal
Huduma hii inahusisha uandishi wa proposal (pendekezo la mradi, biashara au ushirikiano) kwa ajili ya madhumuni mbalimbali kama vile: Kuomba…
Project Report
Huduma hii inahusu uandishi wa ripoti za miradi (Project Report) kwa madhumuni mbalimbali ikiwa ni pamoja na: Kuonyesha matokeo ya…
Kupanga CV Na Vyeti
Je, unahitaji kuwasilisha CV na vyeti vyako kwa mpangilio mzuri, wa kitaalamu na unaovutia? Tunatoa huduma ya kupangilia, kuunganisha na…
Brochures
Huduma hii inahusisha utengenezaji wa brochure za kibiashara au za matangazo kwa ajili ya kampuni, taasisi, au miradi mbalimbali. Tunatengeneza…
Business Cards
Tunabuni na kutengeneza Business Cards (kadi za biashara) zenye muundo wa kisasa, zinazovutia, na zenye kuwasilisha utambulisho wa biashara au…
Kadi Za Harusi
Karibu sana! Tunatoa huduma ya kitaalamu ya kutengeneza kadi za mwaliko au mchango wa harusi zenye ubora wa hali ya…
Kutengeneza Flyers
Flyer ni njia rahisi, ya haraka na ya gharama nafuu ya kufikisha ujumbe kwa hadhira. Tunatoa huduma ya kutengeneza flyers…
Kutengeneza Vyeti
Unahitaji vyeti vya kushukuru, kushiriki au kutambua mafanikio? Tunatoa huduma ya kubuni na kutengeneza vyeti vya kisasa na vya heshima…
Logo Design
Unahitaji logo ya biashara yako, taasisi, kikundi au huduma yako ionekane ya kitaalamu, ya kuvutia na inayotambulika kwa haraka? Tunatoa…
Mobile Apps
Tunatengeneza Mobile Apps za kisasa, zinazofanya kazi kwa haraka, salama na kwa mwonekano wa kitaalamu, kwa ajili ya matumizi ya…
Website Design
Tunatoa huduma ya kutengeneza tovuti (websites) za kisasa, zinazopendeza na zenye kufanya kazi kwa haraka kwa ajili ya biashara, taasisi,…
Kurudisha Akaunti
Je, umesahau nenosiri (password) la akaunti yako ya barua pepe, mitandao ya kijamii au huduma nyingine mtandaoni? Tunatoa huduma ya…
Cheti Kutoka RITA
Huduma hii inalenga kusaidia wateja kuomba vyeti mbalimbali kama vile: Cheti cha kuzaliwa Cheti cha ndoa Cheti cha kifo Kuhakiki…
Maombi Ya Chuo
Huduma hii inahusu usaidizi wa kitaalamu wa kutuma maombi ya kujiunga na vyuo mbalimbali kupitia mifumo rasmi ya serikali au…
Maombi Ya Kazi
Una changamoto ya kutuma maombi ya kazi kwa njia ya email au kupitia mifumo ya mtandaoni (job portals)? Tunakusaidia kutuma…
Mkopo Wa Chuo
Huduma hii inahusu usaidizi wa kitaalamu wa kutuma maombi ya mkopo wa elimu ya juu kupitia mfumo rasmi wa Bodi…
TIN Namba (TRA)
Huduma hii inahusu usaidizi wa kitaalamu wa kuomba Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN Number) kwa watu binafsi, wajasiriamali,…
Email Za Biashara
Unahitaji kuwa na email ya kiofisi yenye jina la biashara yako badala ya Gmail au Yahoo ya kawaida? Tunakusaidia kutengeneza…
Google Map Profile
Huduma hii inahusu kuanzisha na kuandaa Google Business Profile (zamani ikijulikana kama Google My Business) ambayo hukuwezesha: Kuonyesha biashara yako…
Jina La Biashara
Huduma hii inahusisha mchakato mzima wa usajili wa jina la biashara kupitia mfumo wa BRELA Online Registration System (ORS). Tunamsaidia…
Jina La Kampuni
Huduma hii inahusisha usajili rasmi wa kampuni (Private Company Limited by Shares) kupitia mfumo wa BRELA – Online Registration System…
Mashirika Ya NGOs
Huduma hii inalenga kusaidia usajili rasmi wa Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) kwa mujibu wa sheria za Tanzania, hasa kwa…
Mitandao Ya Kijamii
Unahitaji kuwa mtandaoni kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi? Tunakusaidia kutengeneza akaunti zako za mitandao ya kijamii kwa usahihi,…
Ujazaji Wa Fomu
Unasumbuliwa na namna ya kujaza fomu rasmi? Hauna muda au unaogopa kufanya makosa? Tupo kwa ajili yako! Tunatoa huduma ya…
Tatizo La Kompyuta
Unatatizwa na simu au kompyuta yako? Imegoma kuwaka? Inasuasua? Imejaa virusi au haina nafasi ya kutosha? Tupo kwa ajili yako!…
